Slideshow shadow
Waamuzi 1: Mdokezo wa Sura

Waamuzi 1: Mdokezo wa Sura

WAAMUZI 1D: MDOKEZO WA SURA.  Mwongozo wa Kujifunza Biblia/ Muhtasari wa Sura/ Waamuzi 1, (7-BSG-1D)/ Dhima: Kushindwa kwa Israeli Kuwafukuza Wakanaani Wote katika Nchi ya ahadi.   Wahusika: Mungu, Yuda, Simeoni, Adoni-bezeki, Kalebu, Aksa, Othnieli. Andiko Kuu: “Sasa baada ya Yoshua kufa ikatokea kwamba wana wa Israeli walimuuliza BWANA, wakisema, ‘Nani atakayekwea kwanza kwa ajili
...read more

Kutafuta Maongozi ya Kiungu

Kutafuta Maongozi ya Kiungu

WAAMUZI 1B: MWONGOZO WA MAOMBI. Waamuzi 1: Mwongozo wa Maombi/ 7-BSG-1B (Waamuzi 1:1-2)/ Dhima: Kutafuta Maongozi ya Kiungu/ Wimbo: Open my Eyes that I may see!   Andiko Kuu: “Sasa baada ya Yoshua kufa ikatokea kwamba wana wa Israeli walimuuliza BWANA, wakisema, ‘Nani atakayekwea kwanza kwa ajili yetu dhidi ya Wakanaani ili kupigana nao?’ Naye
...read more

Mambo Manne ya Ushindi

Mambo Manne ya Ushindi

Mwongozo wa Kujifunza Biblia/ Waamuzi 1, (7-BSG-1Y)/ Dhima: Mambo Manne Muhimu kwa ajili ya Ushindi/ Wimbo: Faith is the Victory [Mwandishi: John H. Yates]   Andiko Kuu: “Ikawa baada ya kufa kwake Yoshua, wana wa Israeli wakamwuliza Bwana, wakisema, ‘Ni nani atakayekwea kwanza kwa ajili yetu juu ya Wakanaani, ili kupigana nao?’ Bwana akasema, ‘Yuda
...read more

Anza na Bwana, Agosti 5, 2022

Anza na Bwana, Agosti 5, 2022

NUSU-KABILA LINGINE LA MANASE (Yoshua 17) Sura hii inahusika na nusu-kabila lingine la Manase, tofauti na ile nusu tuliyoiona katika somo la jana (Yoshua 16:4), ambayo alipokea sehemu yake ya urithi uliogawanyika Magharibi mwa Yordani. Nusu-kabila la kwanza la Manase lilitaka kubaki upande wa Mashariki wa Yordani. Hawakutaka “kuvuka” Yordani katika nchi ya ahadi. Walipenda
...read more

Yoshua 16: Maswali na Majibu

Yoshua 16: Maswali na Majibu

Mwongozo wa Kujifunza Biblia/ Yoshua 16, (6-BSG-16J)/ Katika ibara fupi, jibu maswali au andika mawazo makuu uliyojifunza kuhusu sura hii.   [1] Nini mada kuu katika Yoshua, sura ya 13 hadi 21? Urithi na Ugawaji wa Nchi ya Ahadi. Yoshua 13: Nchi Iliyobaki; Ugawaji wa Mashariki ya Yordani Yoshua 14: Kugawanywa kwa Nchi ya Magharibi
...read more