Marko 13: Usomaji wa Biblia

Marko 13: Usomaji wa Biblia

Marko 13: Usomaji wa Biblia kwa Mpango/ Kitabu cha Marko sura ya 13/ Dhima: Dalili za Siku za Mwisho.   MARKO 13 1 Hata alipokuwa akitoka hekaluni, mmoja wa wanafunzi wake alimwambia, Mwalimu, tazama, yalivyo mawe na majengo haya! 2 Yesu akajibu, akamwambia, Wayaona majengo haya makubwa? Halitasalia hapa jiwe juu ya jiwe ambalo halitabomolewa. 3 Hata
...read more

Ishara za Nyakati

Ishara za Nyakati

Ibada ya Alfajiri/ Dhima: Ishara za Nyakati/ Neno Muhimu: Kesheni.   Aya Kuu: “Na hilo niwaambialo ninyi, nawaambia wote, Kesheni.” (Mk 13:37) Maswali ya Moyoni: Vitabu vingapi katika Biblia vinahusika na Unabii wa Siku za Mwisho? Ni sura ngapi katika vitabu vya Injili vinazungumzia somo hili muhimu? Marko sura ya 13 inahusu nini hasa? Ni
...read more

Marko 12: Usomaji wa Biblia

Marko 12: Usomaji wa Biblia

Marko 12: Usomaji wa Biblia kwa Mpango/ Kitabu cha Marko sura ya 12/ Dhima: Mabishano kati ya Yesu na Viongozi wa dini Hekaluni (11:27-12:44).   MARKO 12 1 Akaanza kusema nao kwa mifano; Mtu mmoja alipanda shamba la mizabibu, akazungusha ugo, akachimba shimo la shinikizo, akajenga mnara, akapangisha wakulima, akasafiri. 2 Hata kwa wakati wake akatuma
...read more

Mjane na Senti Mbili

Mjane na Senti Mbili

Ibada ya Afajiri/ Dhima: Mjane, Maskini na Senti Mbili/ Andiko Makini: Marko 12:41–44; Luka 21:1–4.   Fungu Kuu: “Naye akaketi kulielekea sanduku la hazina, akatazama jinsi mkutano watiavyo mapesa katika sanduku. Matajiri wengi wakatia mengi. Akaja mwanamke mmoja, mjane, maskini, akatia senti mbili, kiasi cha nusu pesa. Akawaita wanafunzi wake, akawaambia, Amin, nawaambia, Huyu mjane
...read more

Marko 11: Usomaji wa Biblia.

Marko 11: Usomaji wa Biblia.

Marko 11: Usomaji wa Biblia kwa Mpango/ Kitabu cha Marko sura ya 11/ Dhima: Yesu Anaingia Yerusalemi (11:1-33). MARKO 11 1 Hata walipokaribia Yerusalemu karibu na Bethfage na Bethania, kukabili mlima wa Mizeituni, aliwatuma wawili katika wanafunzi wake, 2 akawaambia, Nendeni mpaka kile kijiji kinachowakabili; na katika kuingia ndani yake, mara mtaona mwana-punda amefungwa, asiyepandwa na
...read more