Yoshua 9: Maswali na Majibu

Yoshua 9: Maswali na Majibu

Mwongozo wa Kujifunza Biblia/ Yoshua 9, (6-BSG-9J)/ Katika ibara fupi, jibu maswali au andika mawazo makuu uliyojifunza kuhusu sura hii. [1] Je, unaweza kuandika muhtasari wa sura za Yoshua 1 hadi 9? Ndiyo. Yoshua 1, Utume wa Yoshua. Yoshua 2, Uongofu wa Rahabu. Yoshua 3, Kuvuka Yordani. Yoshua 4, Mawe ya Ukumbusho. Yoshua 5, Utayari
...read more

Anza na Bwana, July 28, 2022

Anza na Bwana, July 28, 2022

Anza na Bwana! Alhamisi: July 28, 2022.   KUFANYA MKATABA NA ADUI (Yoshua 9:3-14) Katika sura hii, Yoshua kimakosa anafanya mkataba na adui, Wagibeoni. Yoshua alifanya kosa gani katika uamuzi wa kuwakubali watu wa Gibeoni? (9:14) Alichunguza chakula chao, lakini hawakushauriana na Bwana! Je, tunawezaje kujua mapenzi ya Mungu kwetu? Mungu anafurahia kufunua mapenzi Yake
...read more

Anza na Bwana, July 27, 2022

Anza na Bwana, July 27, 2022

ANZA NA BWANA! Jumatano: July 27, 2022. Kipindi cha Ibada ya Maombi. [1] “Naomba niombewe Bwana anipatie ratiba ya maombi na familia yangu” (SM); [2] “Umaliziaji wa Nyumba yangu ununuzi wa bati na mbao” (SM); [3] “Wadogo zangu Loius, Samweli, Neema & Veronica- Wapate kuifahamu kweli” (SM); [4] “Naombeni maombi yenu ya kiafya pia, maana
...read more

Dhambi ya Akani

Dhambi ya Akani

SAHAMU YA JIONI. Mwongozo wa Kujifunza Biblia/ 6-BSG-7Y, (Yoshua 7:21)/ Dhima: Dhambi ya Akani/ Wimbo: When Jesus shall gather the nations, [Mwandishi: Harriet Burn McKeever (1885)/ NK #169]   Andiko Kuu: “Nilipoona katika nyara joho nzuri ya Babeli, na shekeli mia mbili za fedha, na kabari ya dhahabu, uzani wake shekeli hamsini, basi nalivitamani nikavitwaa;
...read more

Yoshua 7: Maswali & Majibu

Yoshua 7: Maswali & Majibu

Mwongozo wa Kujifunza Biblia/ Yoshua 5, (6-BSG-7J)/ Katika ibara fupi, jibu maswali au andika mawazo makuu uliyojifunza kuhusu sura hii. [1] Tafadhali pitia upya yale ambayo tumejadili hadi sasa katika Kitabu cha Yoshua. Yoshua 1, Utume wa Yoshua. Yoshua 2, Uongofu wa Rahabu. Yoshua 3, Kuvuka Yordani. Yoshua 4, Mawe ya Ukumbusho. Yoshua 5, Utayari
...read more