Waamuzi 2: Usomaji, Vidokezo

Waamuzi 2: Usomaji, Vidokezo

WAAMUZI 2D: MDOKEZO WA SURA.  Mwongozo wa Kujifunza Biblia/ Muhtasari wa Sura/ Waamuzi 2, (7-BSG-2D)/ Dhima: Kushindwa kwa Israeli, rehema ya Mungu   Kifupi: Sura hii ina maelezo ya kuvutia ya kutokea kwa Malaika, yenye ujumbe kutoka kwa Yehova kwa Israeli. Sura hiyo inazangatia mtazamo wa matukio ya zamani katika mwenendo wa Israeli chini ya
...read more

Israeli Ilimwacha Bwana

Israeli Ilimwacha Bwana

WAAMUZI 2Y: SAHAMU YA JIONI. Mwongozo wa Kujifunza Biblia/ Waamuzi 2, (7-BSG-2Y)/ Dhima: Israeli Ilimwacha Bwana/ Wimbo: Don’t forget, That the Lord is in you. [hymnal.net #  771]   Andiko Kuu: “Ndipo wana wa Israeli wakafanya yaliyo maovu machoni pa Bwana, wakawatumikia Mabaali; nao wakamwacha BWANA, Mungu wa baba zao, aliyekuwa amewatoa katika nchi ya
...read more

Kuiasi Amri ya Mungu

Kuiasi Amri ya Mungu

WAAMUZI 2B: MWONGOZO WA MAOMBI. Waamuzi 2: Mwongozo wa Maombi/ 7-BSG-2B (Waamuzi 2:2, 11-13)/ Dhima: Kuiasi Amri ya Mungu/ Wimbo: Trust and Obey (SDAH 590). Andiko Kuu: “Nanyi msifanye agano lolote na hawa wenyeji wa nchi hii; yapomoeni madhabahu yao. Lakini hamkuisikia sauti Yangu. Kwa nini mmefanya hivi?” (Waamuzi 2:2) Maelezo ya Ufunguzi: Malaika wa
...read more

Waamuzi 1: Usomaji, Vidokezo

Waamuzi 1: Usomaji, Vidokezo

WAAMUZI 1D: MDOKEZO WA SURA.  Mwongozo wa Kujifunza Biblia/ Muhtasari wa Sura/ Waamuzi 1, (7-BSG-1D)/ Dhima: Kushindwa kwa Israeli Kuwafukuza Wakanaani Wote katika Nchi ya ahadi.   Wahusika: Mungu, Yuda, Simeoni, Adoni-bezeki, Kalebu, Aksa, Othnieli. Andiko Kuu: “Sasa baada ya Yoshua kufa ikatokea kwamba wana wa Israeli walimuuliza BWANA, wakisema, ‘Nani atakayekwea kwanza kwa ajili
...read more

Kutafuta Maongozi ya Kiungu

Kutafuta Maongozi ya Kiungu

WAAMUZI 1B: MWONGOZO WA MAOMBI. Waamuzi 1: Mwongozo wa Maombi/ 7-BSG-1B (Waamuzi 1:1-2)/ Dhima: Kutafuta Maongozi ya Kiungu/ Wimbo: Open my Eyes that I may see!   Andiko Kuu: “Sasa baada ya Yoshua kufa ikatokea kwamba wana wa Israeli walimuuliza BWANA, wakisema, ‘Nani atakayekwea kwanza kwa ajili yetu dhidi ya Wakanaani ili kupigana nao?’ Naye
...read more