You are browsing the Blog for Aya za Biblia Kuhusu….

Baraka na Laana
Aya za Biblia Kuhusu… Baraka na Laana 102-BVA, (Torati 11:26–28) “Angalieni, nawawekea mbele yenu hivi leo baraka na laana; baraka ni hapo mtakapoyasikiza maagizo ya Bwana, Mungu wenu, niwaagizayo leo; na laana ni hapo msiposikiza maagizo ya Bwana, Mungu wenu, mkikengeuka katika njia niwaagizayo leo, kwa kuandama miungu mingine msiyoijua.” (Kumbukumbu la Torati 11:26–28)
...read more

Mtini Tasa Walaaniwa
Aya za Biblia Kuhusu… Mtini Tasa Walaaniwa 101-BVA, (Mathayo 21:18-22) Lengo: Imani Ihamishayo Mlima! “Hata asubuhi alipokuwa akienda mjini, aliona njaa. Akaona mtini mmoja kando ya njia, akauendea, asione kitu juu yake ila majani tu; akauambia, Yasipatikane matunda kwako tangu leo hata milele. Mtini ukanyauka mara. Wanafunzi walipoona, walistaajabu, wakisema, Jinsi gani mtini umenyauka mara?
...read more