You are browsing the Blog for Usomaji/ Vidokezo.

Waamuzi 2: Usomaji, Vidokezo
WAAMUZI 2D: MDOKEZO WA SURA. Mwongozo wa Kujifunza Biblia/ Muhtasari wa Sura/ Waamuzi 2, (7-BSG-2D)/ Dhima: Kushindwa kwa Israeli, rehema ya Mungu Kifupi: Sura hii ina maelezo ya kuvutia ya kutokea kwa Malaika, yenye ujumbe kutoka kwa Yehova kwa Israeli. Sura hiyo inazangatia mtazamo wa matukio ya zamani katika mwenendo wa Israeli chini ya
...read more

Waamuzi 1: Usomaji, Vidokezo
WAAMUZI 1D: MDOKEZO WA SURA. Mwongozo wa Kujifunza Biblia/ Muhtasari wa Sura/ Waamuzi 1, (7-BSG-1D)/ Dhima: Kushindwa kwa Israeli Kuwafukuza Wakanaani Wote katika Nchi ya ahadi. Wahusika: Mungu, Yuda, Simeoni, Adoni-bezeki, Kalebu, Aksa, Othnieli. Andiko Kuu: “Sasa baada ya Yoshua kufa ikatokea kwamba wana wa Israeli walimuuliza BWANA, wakisema, ‘Nani atakayekwea kwanza kwa ajili
...read more

Walawi 20: Mdokezo wa Sura
Mwongozo wa Kujifunza Biblia/ Muhtasari wa Sura/ Walawi 20, (3-BSG-20D)/ Dhamira: Adhabu dhidi ya Ibada ya Sanamu & Dhambi wa Upujufu. Wahusika: Mungu, Musa, Israeli Wote (pamoja na Wageni waishio Israeli) Andiko Kuu: “Basi zishikeni amri Zangu zote, na hukumu Zangu zote, na kuzifanya; ili kwamba hiyo nchi, ambayo nawapeleka ninyi kukaa, isiwatapike. Nanyi msiende
...read more

Walawi 1: Usomaji/ Vidokezo
3-BSG-1C: USOMAJI WA BIBLIA. Usomaji wa Biblia kwa Mpango/ Kitabu cha Mambo ya Walawi 1/ Dhima: Sadaka ya Kuteketezwa. Walawi 1: 1 Bwana akamwita Musa, na kusema naye kutoka katika hema ya kukutania, akamwambia, 2 Nena na wana wa Israeli, uwaambie, Mtu wa kwenu atakapomtolea Bwana matoleo, mtatoa matoleo yenu katika wanyama wa mifugo, katika ng’ombe
...read more

Kutoka 1: Usomaji wa Biblia
Kutoka 1: 1 Basi majina ya wana wa Israeli walioingia Misri ni haya; kila mtu pamoja na jamaa zake walikuja pamoja na Yakobo. 2 Reubeni, na Simeoni na Lawi, na Yuda; 3 na Isakari, na Zabuloni, na Benyamini; 4 na Dani, na Naftali, na Gadi, na Asheri. 5 Na nafsi zile zote zilizotoka viunoni mwa Yakobo zilikuwa ni
...read more