Usiwe na Miungu Mingine!

Usiwe na Miungu Mingine!

Ibada ya Alfajiri: Walawi 20. / USIWE NA MIUNGU MINGINE! / Fungu Kuu: Walawi 20:1-3. Je BWANA anasema nini asubuhi ya leo? Anasema hivi: Mwisraeli yeyote au mgeni ye yote anayeishi katika Israeli ambaye hutoa watoto wake kwa Moleki (mungu wa Waamoni) [kama dhabihu ya kibinadamu] hakika atauawa; Watu wa nchi watampiga kwa mawe. Nami nitaweka Uso
...read more

Sadaka ya Kuteketezwa

Sadaka ya Kuteketezwa

Walawi 1: Mwongozo wa Ibada/ 3-BSG-1A, (Walawi 1:1-17)/ Maudhui: Sadaka ya Kuteketezwa/ Wimbo: Jesus Paid It All (SDAH 184)   Uchunguzi: Sadaka ya Kuteketezwa, mfano wa Kristo – (tazama Ebr. 7:25, 26; 1 Yn. 3:5; 2 Kor. 5:21; 1 Pet 1:18-19). Tafakari: Mpendwa, karibu katika kitabu cha Walawi. Mahali – (Israeli iko Mlima Sinai mwaka
...read more

Israeli Wateswa huko Misri

Israeli Wateswa huko Misri

Kutoka 1: Mwongozo wa Ibada/ 2-BSG-1A, (Kutoka 1:1-22)/ Dhima: Israeli Wateswa huko Misri/ Wimbo: Under His wings, I’m safely Abiding (SDAH 529). Uchunguzi: Kufuatilia miaka 430 ya utumwa na mateso ya Israeli – Andiko Kuu: Mwa. 15:13-16. Soma – (Mwa. 21:9 cf. Gal. 4:29; Mwa. 27:41–43; 31:2, 21, 29; 37:28; 39:20; Kut. 1:8, 12; Kut.
...read more

Yusufu: Jinsi ya Kushinda Majaribu

Yusufu: Jinsi ya Kushinda Majaribu

Mwanzo 39: Mwongozo wa Ibada/ 1-BSG-39A, (Mwanzo 39:1-23)/ Dhima: Yusufu katika Nyumba ya Potifa/ Wimbo: “Nataka Imani hii: Imani imara” (NK 79) Uchunguzi: Jinsi ya Kushinda Majaribu Makuu— (Efe. 6:11, 13-17; Yak. 4: 7; 2 Tim 2:22; Mwa. 39: 6-12; Marko 14:38; 1 Pet 5:8-9; 1 Kor. 10:13). Tafakari: Yusufu alijaribiwa kufanya mapenzi na mke
...read more

Dhambi ya Yuda na Tamari

Dhambi ya Yuda na Tamari

Mwanzo 38: Mwongozo wa Ibada/ 1-BSG-38A, (Mwanzo 38:1-30)/ Dhima: Dhambi ya Yuda na Tamari/ Wimbo: Katika Wenye Dhambi (NK 121)   Uchunguzi: Fimbo ya enzi haitaondoka Yuda – (Mwa. 49:10; 2 Sam 2:4; 1 Nya. 5:2; Zab. 60:7; Mik. 5:2; Mat 1:1-2, 3; Mat 2:6; Ebr. 7:14; Ufu. 5:5). Tafakari: Sura hii inawasilisha maelezo ya
...read more