Kuiasi Amri ya Mungu

Kuiasi Amri ya Mungu

WAAMUZI 2B: MWONGOZO WA MAOMBI. Waamuzi 2: Mwongozo wa Maombi/ 7-BSG-2B (Waamuzi 2:2, 11-13)/ Dhima: Kuiasi Amri ya Mungu/ Wimbo: Trust and Obey (SDAH 590). Andiko Kuu: “Nanyi msifanye agano lolote na hawa wenyeji wa nchi hii; yapomoeni madhabahu yao. Lakini hamkuisikia sauti Yangu. Kwa nini mmefanya hivi?” (Waamuzi 2:2) Maelezo ya Ufunguzi: Malaika wa
...read more

Kutafuta Maongozi ya Kiungu

Kutafuta Maongozi ya Kiungu

WAAMUZI 1B: MWONGOZO WA MAOMBI. Waamuzi 1: Mwongozo wa Maombi/ 7-BSG-1B (Waamuzi 1:1-2)/ Dhima: Kutafuta Maongozi ya Kiungu/ Wimbo: Open my Eyes that I may see!   Andiko Kuu: “Sasa baada ya Yoshua kufa ikatokea kwamba wana wa Israeli walimuuliza BWANA, wakisema, ‘Nani atakayekwea kwanza kwa ajili yetu dhidi ya Wakanaani ili kupigana nao?’ Naye
...read more

Anza na Bwana, Agosti 5, 2022

Anza na Bwana, Agosti 5, 2022

NUSU-KABILA LINGINE LA MANASE (Yoshua 17) Sura hii inahusika na nusu-kabila lingine la Manase, tofauti na ile nusu tuliyoiona katika somo la jana (Yoshua 16:4), ambayo alipokea sehemu yake ya urithi uliogawanyika Magharibi mwa Yordani. Nusu-kabila la kwanza la Manase lilitaka kubaki upande wa Mashariki wa Yordani. Hawakutaka “kuvuka” Yordani katika nchi ya ahadi. Walipenda
...read more

Anza na Bwana, Agosti 4, 2022

Anza na Bwana, Agosti 4, 2022

URITHI (MGAWO) KWA WANA WA YUSUFU (Yoshua 16:1-10) Urithi na Mgawanyo wa Ardhi katika Nchi ya Ahadi ndiyo dhima kuu katika Yoshua sura ya 13 hadi 21. Efraimu na Manase walikuwa wana wa Yusufu, ambao mzee Yakobo “aliwarithi” na kubarikiwa sana (Mwa. 48:15–22). Kwa kuwa kabila la Lawi halikupewa eneo lolote, makabila haya mawili yalizazilishia
...read more

Anza na Bwana, July 27, 2022

Anza na Bwana, July 27, 2022

ANZA NA BWANA! Jumatano: July 27, 2022. Kipindi cha Ibada ya Maombi. [1] “Naomba niombewe Bwana anipatie ratiba ya maombi na familia yangu” (SM); [2] “Umaliziaji wa Nyumba yangu ununuzi wa bati na mbao” (SM); [3] “Wadogo zangu Loius, Samweli, Neema & Veronica- Wapate kuifahamu kweli” (SM); [4] “Naombeni maombi yenu ya kiafya pia, maana
...read more