You are browsing the Blog for Mwongozo wa Ibada.

Henoko Akaenenda na Mungu!
Mwanzo 5: Mwongozo wa Ibada/1-BSG-5A (Mwanzo 5:21-24)/Dhima: Henoko Akaenenda na Mungu! Wimbo: Nataka Imani Hii (NK 79) Uchunguzi: Kuenenda pamoja na/mbele ya Mungu – [soma Mwa. 5:22, 24; 6:9; 17:1; Law. 26:12; Zab. 128:1; 1 Yohana 1: 6-7; 2:6) Tafakari: Mwanzo 5:1–32 inawasilisha mfano wa ukoo mrefu kuanzia Adamu hadi Nuhu. Inafuatilia uzao wa
...read more

Kaini na Habili
Mwanzo 4: Mwongozo wa Ibada/ 1-BSG-4A (Mwanzo 4:1-15)/ Dhima: Kaini na Habili/ Wimbo: I Gave My Life For Thee (SDAH 281) Uchunguzi: Chaguzi & Matokeo: “Kama Ukitenda vyema, hutakubaliwa?” — (Mwa. 4:7; Law. 26:18, 28, 40-42; 1 Sam 12:14-15; 2 Nya. 7:14; Neh. 1:8-9; Isa 1:19-20; Yer. 7:5-7) Tafakari: Sura hili inatambulisha dhima ya
...read more

Dhambi vs. Utakatifu
Mwanzo 3: Mwongozo wa Ibada/ 1-BSG-3A (Mwanzo 3:1-10)/ Dhima: Dhambi vs. Utakatifu/ Wimbo: Tafuta Daima Utakatifu (NK 134) Uchunguzi: Dhambi kama utengo kutoka kwa Mungu – (Kumb 31:18; Isa 1:15; 59:2; 64:7; Eze. 8:6; Hos. 5:6; Mik. 3:4; Efe. 2:12). Tafakari: Katika sura ya kwanza, Mungu aliumba “mbingu na nchi” kwa siku sita halisi.
...read more

Taasisi Mbili za Kwanza
Mwanzo 2: Mwongozo wa Ibada/ 1-BSG-2A (Mwanzo 2:1-25)/ Dhima: Taasisi Mbili za Kwanza/ Wimbo: Ni siku ya furaha (NK 82) Uchunguzi: Ndoa, uhusiano wa maagano (Mit. 2:16-17; Eze 16:8; Mal 2:14; Mat 19:6; Efe. 5:25-33; Ufu. 19:6-9; 21:2). Sabato, ishara kati ya Mungu na watu Wake (Eze. 20:12; Kut. 31:13; Isa. 66:23; Ufu. 14:12).
...read more

Hapo Mwanzo
Mwanzo 1: Mwongozo wa Ibada/1-BSG-1A (Mwanzo 1:1-31)/Dhima: Hapo Mwanzo/Wimbo: O worship the King, All glorious above! (SDAH 83). Uchunguzi: Mungu kama Muumbaji wa Ulimwengu (Mwa. 1:1-2:3; Neh. 9:6; Zab. 24:1-2; Mhu. 3:11; Matendo 4:24; 7:50; 14:15; 17:24); Yesu Kristo kama wakala wa Uumbaji (Yn. 1:3, 10; 1 Kor. 8:6; Kol. 1:16; Ebr. 1:2). Tafakari:
...read more