You are browsing the Blog for Usomaji/ Vidokezo.

Mwanzo 40: Usomaji wa Biblia
Mwanzo 40: 1 Ikawa, baada ya mambo hayo, mnyweshaji wa mfalme wa Misri, na mwokaji wake, wakamkosa bwana wao, mfalme wa Misri. 2 Farao akawaghadhibikia maakida wake wawili, mkuu wa wanyweshaji na mkuu wa waokaji. 3 Akawatia katika lindo nyumbani mwa mkuu wa askari, humo gerezani, mahali alipofungwa Yusufu. 4 Mkuu wa askari akamwekea Yusufu watu hao, naye
...read more

Mwanzo 39: Usomaji wa Biblia
Mwanzo 39: 1 Basi Yusufu akaletwa mpaka Misri naye Potifa, akida wa Farao, mkuu wa askari, mtu wa Misri, akamnunua mkononi mwa hao Waishmaeli waliomleta huko. 2 Bwana akawa pamoja na Yusufu, naye akasitawi; naye alikuwa katika nyumba ya bwana wake, yule Mmisri. 3 Bwana wake akaona ya kwamba Bwana yu pamoja naye, na ya kuwa Bwana
...read more

Mwanzo 38: Usomaji wa Biblia
Mwanzo 38: 1 Ikawa wakati ule, Yuda akashuka kutoka kwa ndugu zake, akamfikia mtu Mwadulami, jina lake Hira. 2 Yuda akaona huko binti wa mtu Mkanaani, jina lake Shua. Akamtwaa, akaingia kwake. 3 Naye akapata mimba, akazaa mwana, akamwita jina lake Eri. 4 Akapata mimba tena, akazaa mwana, akamwita jina lake Onani. 5 Akaendelea, akazaa tena mwana mwingine, akamwita
...read more

Mwanzo 37: Usomaji wa Biblia
Mwanzo 37: 1 Yakobo akakaa katika nchi aliyosafiri baba yake, katika nchi ya Kanaani. 2 Hivi ndivyo vizazi vya Yakobo. Yusufu, aliyekuwa mwenye miaka kumi na saba, alikuwa akichunga kondoo pamoja na ndugu zake; naye alikuwa kijana pamoja na wana wa Bilha, na wana wa Zilpa, wake wa baba yake. Yusufu akamletea baba yao habari zao
...read more

Mwanzo 36: Usomaji wa Biblia
Mwanzo 36: 1 Hivi ndivyo vizazi vya Esau, ndiye Edomu. 2 Esau alitwaa binti za Kanaani, kuwa wakeze; Ada, binti Eloni, Mhiti, na Oholibama, binti Ana, binti Sibeoni, Mhivi; 3 na Basemathi, binti Ishmaeli, nduguye Nebayothi. 4 Ada akamzalia Esau Elifazi; na Basemathi alizaa Reueli. 5 Oholibama alizaa Yeushi, na Yalamu, na Kora. Hao ndio wana wa Esau aliozaliwa
...read more