Mwanzo 45: Usomaji wa Biblia

Mwanzo 45: Usomaji wa Biblia

Mwanzo 45:   1 Hapo Yusufu hakuweza kujizuia mbele yao wote waliosimama karibu naye. Akapiga kelele, na kusema, Mwondoeni kila mtu mbele yangu. Wala hakusimama mtu pamoja naye, Yusufu alipojitambulisha kwa nduguze. 2 Akapaza sauti yake akalia, nao Wamisri wakasikia. Watu wa nyumba ya Farao nao wakasikia. 3 Yusufu akawaambia ndugu zake, Mimi ndimi Yusufu; baba yangu
...read more

Mwanzo 44: Usomaji wa Biblia

Mwanzo 44: Usomaji wa Biblia

Mwanzo 44:   1 Akamwamuru yule msimamizi wa nyumba yake akisema, Jaza magunia ya watu hawa chakula kwa kadiri wawezavyo kuchukua, utie na fedha ya kila mtu kinywani mwa gunia lake. 2 Na kikombe changu, kikombe kile cha fedha, ukitie kinywani mwa gunia la yule mdogo pamoja na fedha ya nafaka yake. Akafanya kama vile alivyomwambia
...read more

Mwanzo 43: Usomaji wa Biblia

Mwanzo 43: Usomaji wa Biblia

Mwanzo 43:   1 Njaa ikawa nzito katika nchi. 2 Ikawa walipokwisha kula nafaka waliyoileta kutoka Misri, baba yao akawaambia, Rudini huko, mkatununulie chakula kidogo. 3 Yuda akamwambia akisema, Yule mtu alituagizia sana akisema, Hamtaniona uso wangu, ndugu yenu asipokuwa pamoja nanyi. 4 Ukimpeleka ndugu yetu pamoja nasi, tutashuka na kukununulia chakula. 5 Ila usipompeleka, hatushuki, maana mtu yule
...read more

Mwanzo 42: Usomaji wa Biblia

Mwanzo 42: Usomaji wa Biblia

Mwanzo 42:   1 Basi Yakobo akaona ya kuwa kuna nafaka katika Misri, Yakobo akawaambia wanawe, Kwa nini mnatazamana? 2 Akasema, Angalia, nimesikia ya kuwa kuna nafaka Misri; shukeni huko mkatununulie chakula, tupate kuishi wala tusife. 3 Basi ndugu kumi wa Yusufu wakashuka Misri ili wanunue nafaka. 4 Walakini Benyamini, ndugu wa Yusufu, Yakobo hakumpeleka pamoja na ndugu
...read more

Mwanzo 41: Usomaji wa Biblia

Mwanzo 41: Usomaji wa Biblia

Mwanzo 41: 1 Ikawa, mwisho wa miaka miwili mizima, Farao akaota ndoto; na tazama, amesimama kando ya mto. 2 Na tazama, ng’ombe saba wazuri, wanono, walipanda kutoka mtoni, wakajilisha manyasini. 3 Na tazama, ng’ombe saba wengine wakapanda nyuma yao kutoka mtoni, wabaya, wamekonda, wakasimama karibu na wale ng’ombe wengine ukingoni mwa mto. 4 Kisha hao ng’ombe wabaya waliokonda
...read more