Slideshow shadow
Kuingia kwa Ushindi

Kuingia kwa Ushindi

Ibada ya Afajiri/ Dhima: Kuingia kwa Ushindi/ Andiko Makini: Marko 11:1-11.   Fungu Kuu: “Nao watu waliotangulia na wale waliofuata wakapaza sauti, Hosana; ndiye Mbarikiwa ajaye kwa jina la Bwana; Umebarikiwa na ufalme ujao, wa baba yetu Daudi. Hosana Juu Mbinguni.” (Marko 11:9–10) Maswali ya Moyoni: Je, hii ilikuwa safari ya kwanza ya Yesu kwenda
...read more

Neno Moja Tu

Neno Moja Tu

Mwongozo wa Kujifunza Biblia/ Marko 10, (41-BSG-10Y)/ Mawazo ya Kiibada katika Marko 10/ Somo: Umepungukiwa na Neno Moja.   Andiko Makini: “Yesu akamkazia macho, akampenda, akamwambia, Umepungukiwa na neno moja. ‘Enenda, ukauze ulivyo navyo vyote, uwape maskini, nawe utakuwa na hazina mbinguni; kisha njoo unifuate.’ Walakini yeye akakunja uso kwa neno hilo, akaenda zake kwa
...read more

Kijana Tajiri

Kijana Tajiri

Ibada ya Alfajiri/ Somo: Kijana Tajiri/ Andiko Makini: Marko 10:17-25.   Aya Kuu: “Yesu akamkazia macho, akampenda, akamwambia, Umepungukiwa na neno moja. ‘Enenda, ukauze ulivyo navyo vyote, uwape maskini, nawe utakuwa na hazina mbinguni; kisha njoo unifuate.’ Walakini yeye akakunja uso kwa neno hilo, akaenda zake kwa huzuni; kwa sababu alikuwa na mali nyingi. (Marko
...read more

Mathayo 2: Ibada

Mathayo 2: Ibada

Mathayo 2: Mwongozo wa Ibada/ 40-BSG-2A, (Mathayo 2:1-12)/ Dhima: Mtanitafuta na Kunipata/Wimbo: “Jesus paid it all, All to Him I owe” – [Mwandishi: Elvina M. Hall (1865)].   Uchunguzi: Mamajusi kutoka Mashariki (Mat. 2:1-12)/ Kumtafuta Mungu – (Isa 45:19; 1 Nyak. 28:9; Zab. 14:2; 27:8; 32:6; 95:7; Mit. 8:17; Yer. 29:12-14; Mat 7:7- 8; 2
...read more

Mathayo 1: Ibada

Mathayo 1: Ibada

Mathayo 1: Mwongozo wa Ibada/ 40-BSG-1A, (Mathayo 1:18-25)/ Dhima: Kristo – Mwanadamu kamili, Mungu kamili/ Wimbo: “Live out Thy life within me” (SDAH 316).   Uchunguzi: Nasaba ya Yesu Kristo — (Mwa. 5:1–32; 11:10–26; Ruthu 4:18–22; 1 Nya. 1:1–4, 24–27, 34; 2:1–15; Mat. 1:2–17; Luka 3:23-38); Kuzaliwa kwa Yesu (Mat. 1:18-25; Luka 1:26-28; 2:1-7) Tafakari:
...read more