Huzuni ya Mwana wa Adamu.

April 8, 2019 in Injili Ya Asubuhi by TGVS

Injili Ya Asubuhi.

“MSALABA WA YESU KRISTO.”
“Maana naliazimu nisijue neno lo lote kwenu ila Yesu Kristo, Naye amesulibiwa”

[Somo la 8/50] 83Z-008.
Huzuni ya Mwana wa Adamu.
Neno Kuu: Perilupos (deeply grieved)

Aya Kuu Ya Leo:
“36 Kisha Yesu akaenda pamoja nao mpaka bustani iitwayo Gethsemane, Akawaambia wanafunzi wake, Ketini hapa, hata niende kule nikaombe. 37 Akamchukua Petro na wale wana wawili wa Zebedayo, akaanza kuhuzunika na kusononeka. 38 Ndipo akawaambia, Roho Yangu ina huzuni nyingi kiasi cha kufa; kaeni hapa, mkeshe pamoja Nami.” (Mathayo 26:36-38)

Mawazo Makuu:
(a) Utangulizi/ Marudio
(b) Gethsemani (Mahali pa Huzuni)
(c) Huzuni na Wanafunzi wanyonge
(d) Huzuni nyingi kiasi cha kufa.
(e) Kristo: Mtu wa Huzuni.
(f) Huzuni na Mwitikio wetu.
(g) Sauti ya Injili –(Sauti ya Bwana kwa ajili yako)

SAUTI YA INJILI.
[Ahadi ya “kisikilizwa” tunapokuwa na huzuni dhidi ya dhambi]

“7 Yeye, siku hizo za mwili Wake, alimtolea Yule, awezaye kumwokoa na kumtoa katika mauti, maombi na dua pamoja na kulia sana na machozi, Akasikilizwa kwa jinsi alivyokuwa mcha Mungu; 8 na, ingawa ni Mwana, alijifunza kutii kwa mateso hayo yaliyompata; 9 Naye alipokwisha kukamilishwa, akawa sababu ya wokovu wa milele kwa watu wote wanaomtii” (Waebrania 5:7-9)

Comments