You are browsing the Blog for Injili Ya Asubuhi.

Imani Dhidi ya Hofu
HESABU 13: INJILI YA ASUBUHIHesabu 13: Injili ya Asubuhi/ 4-BSG-13AB/ Somo: Imani Dhidi ya Hofu — Kuona Majitu au Kumwona Mungu? Wazo Kuu: Mungu anawaita watu Wake waamini ahadi Zake licha ya majitu yaliyo mbele yao. Uchunguzi:Imani juu ya hofu — “Kwa maana twaenenda kwa imani, si kwa kuona” (2 Kor. 5:7).Ujasiri wa kutii —
...read more

Mungu Yu Pamoja Nasi
Injili ya Asubuhi IMANUELI: MUNGU PAMOJA NASI. Andiko Kuu: Matayo 1:23. Shabaha: Utambuzi wa uwepo wa Imanueli kati yetu. Je unatambua kuwa Mungu amekuwa pamoja nasi siku zote? Dhambi zetu ndizo zinatutenga na Mungu wetu (Isa 59: 1-2). Je una tatizo gani asubuhi ya leo? Nenda kwa Emmanueli. Mwamini Yesu Kristo, Naye atakusaidia. “Tazama, bikira
...read more

Huzuni ya Mwana wa Adamu.
Injili Ya Asubuhi. “MSALABA WA YESU KRISTO.” “Maana naliazimu nisijue neno lo lote kwenu ila Yesu Kristo, Naye amesulibiwa” [Somo la 8/50] 83Z-008. Huzuni ya Mwana wa Adamu. Neno Kuu: Perilupos (deeply grieved) Aya Kuu Ya Leo: “36 Kisha Yesu akaenda pamoja nao mpaka bustani iitwayo Gethsemane, Akawaambia wanafunzi wake, Ketini hapa, hata niende kule
...read more

Onyo dhidi ya Kujiamini.
Injili Ya Asubuhi. “MSALABA WA YESU KRISTO.” “Maana naliazimu nisijue neno lo lote kwenu ila Yesu Kristo, naye amesulibiwa” [Somo la 7/50] 83Z-007. Onyo dhidi ya Kujiamini. Neno Kuu: Skandalizō (fall away) AYA KUU YA LEO: “30 Nao walipokwisha kuimba, wakatoka nje kwenda mlima wa Mizeituni. 31 Ndipo Yesu akawaambia, Ninyi nyote mtachukizwa kwa ajili
...read more

Kuzinduliwa kwa Agano Jipya.
Injili Ya Asubuhi. “MSALABA WA YESU KRISTO.” “Maana naliazimu nisijue neno lo lote kwenu ila Yesu Kristo, naye amesulibiwa” [Somo la 6/50] Kuzinduliwa kwa Agano Jipya. 83Z-006: Neno Kuu: eucharisteō (Eucharist) AYA KUU YA LEO: “26 Nao walipokuwa wakila Yesu alitwaa mkate, akabariki, akaumega, akawapa wanafunzi wake, akasema, Twaeni, mle; huu ndio mwili wangu
...read more