SAUTI YA INJILI (TGVS)

Jarida La Injili
  • Nyumbani
  • Dakika 10 na Yesu
  • Ibada
  • Maombi
  • Usomaji, Vidokezo
  • Wazo la Usiku
  • Facebook
  • App

You are browsing the Blog for TGVS.

Marko 13: Usomaji wa Biblia

Marko 13: Usomaji wa Biblia kwa Mpango/ Kitabu cha Marko sura ya 13/ Dhima: Dalili za Siku za Mwisho.   MARKO 13 1 Hata alipokuwa akitoka hekaluni, mmoja wa wanafunzi wake alimwambia, Mwalimu, tazama, yalivyo mawe na majengo haya! 2 Yesu akajibu, akamwambia, Wayaona majengo haya makubwa? Halitasalia hapa jiwe juu ya jiwe ambalo halitabomolewa. 3 Hata
...read more
...

Ishara za Nyakati

Ibada ya Alfajiri/ Dhima: Ishara za Nyakati/ Neno Muhimu: Kesheni.   Aya Kuu: “Na hilo niwaambialo ninyi, nawaambia wote, Kesheni.” (Mk 13:37) Maswali ya Moyoni: Vitabu vingapi katika Biblia vinahusika na Unabii wa Siku za Mwisho? Ni sura ngapi katika vitabu vya Injili vinazungumzia somo hili muhimu? Marko sura ya 13 inahusu nini hasa? Ni
...read more
...

Marko 12: Usomaji wa Biblia

Marko 12: Usomaji wa Biblia kwa Mpango/ Kitabu cha Marko sura ya 12/ Dhima: Mabishano kati ya Yesu na Viongozi wa dini Hekaluni (11:27-12:44).   MARKO 12 1 Akaanza kusema nao kwa mifano; Mtu mmoja alipanda shamba la mizabibu, akazungusha ugo, akachimba shimo la shinikizo, akajenga mnara, akapangisha wakulima, akasafiri. 2 Hata kwa wakati wake akatuma
...read more
...

Mjane na Senti Mbili

Ibada ya Afajiri/ Dhima: Mjane, Maskini na Senti Mbili/ Andiko Makini: Marko 12:41–44; Luka 21:1–4.   Fungu Kuu: “Naye akaketi kulielekea sanduku la hazina, akatazama jinsi mkutano watiavyo mapesa katika sanduku. Matajiri wengi wakatia mengi. Akaja mwanamke mmoja, mjane, maskini, akatia senti mbili, kiasi cha nusu pesa. Akawaita wanafunzi wake, akawaambia, Amin, nawaambia, Huyu mjane
...read more
...

Marko 11: Usomaji wa Biblia.

Marko 11: Usomaji wa Biblia kwa Mpango/ Kitabu cha Marko sura ya 11/ Dhima: Yesu Anaingia Yerusalemi (11:1-33). MARKO 11 1 Hata walipokaribia Yerusalemu karibu na Bethfage na Bethania, kukabili mlima wa Mizeituni, aliwatuma wawili katika wanafunzi wake, 2 akawaambia, Nendeni mpaka kile kijiji kinachowakabili; na katika kuingia ndani yake, mara mtaona mwana-punda amefungwa, asiyepandwa na
...read more
...

 
← Previous Entries

Today's Date

Friday, August 28 th, 2026

Recent Posts

  • Hesabu 16: Wazo la Usiku August 27, 2025
  • Hesabu 16: Mwongozo wa Maombi August 27, 2025
  • Hesabu 16: Mwongozo wa Ibada August 27, 2025
  • Hesabu 13: Maswali na Majibu August 24, 2025
  • Imani Dhidi ya Hofu August 24, 2025
  • Hesabu 13: Mwongozo wa Maombi August 24, 2025
  • Hesabu 13: Maswali Changamshi August 24, 2025
  • Baraka na Laana April 4, 2023
  • Mtini Tasa Walaaniwa April 3, 2023
  • Uavyaji Mimba. April 3, 2023

Archives

Monthly View

August 2026
S M T W T F S
 1
2345678
9101112131415
16171819202122
23242526272829
3031  
« Aug    

Sauti Ya Injili-TGV

PO Box 1058
Cordova, TN  38088

Phone: +1 (888) 402 5509

Email: Injili@tgvs.org

Web: www.tgvs.org



Copyright BMA 2015. All Rights Reserved.