Danieli 2: Maswali na Majibu

Danieli 2: Maswali na Majibu

DANIELI 2: MASWALI NA MAJIBU Mwongozo wa Kujifunza Biblia/ Danieli 2, (27-BSG-2J)/ Maswali na Majibu   [1] Je lini Mungu alimpatia Nebukadneza ndoto hii? “Katika mwaka wa pili wa kumiliki kwake Nebukadreza” (2:1). [2] Hivi unaweza kutambua mstariwakati wa ndoto ya Nebukadneza? (2:1) Zingatia kwamba huu “Mwaka wa Pili” kwa kweli ni Mwaka wa Tatu
...read more

Danieli 1: Maswali na Majibu

Danieli 1: Maswali na Majibu

Mwongozo wa Kujifunza Biblia/ Danieli 1, (27-BSG-1J)/ Maswali na Majibu   [1] Danieli alikuwa nani? Kuzaliwa na nasaba yake vimeachwa katika sintofahamu kabisa isipokuwa kwamba alikuwa kijana wa kidini kutoka Yerusalemu. Alikuwa wa ukoo wa kifalme, pengine wa nyumba ya Daudi. Alichukuliwa utumwa na Nebukadneza wa Babeli. [2] Zungumzia kuhusu Uandishi na Tarehe ya Kitabu
...read more

Yeremia 38: Maswali na Majibu

Yeremia 38: Maswali na Majibu

Mwongozo wa Kujifunza Biblia/ Yeremia 38, (24-BSG-38J)/ Maswali na Majibu [1] Yeremia angewezaje kuhubiri wakati akiwa kifungoni? (38:1) “Pengine Yeremia alikuwa huru kutembea kwenye uwanda wa ufalme. Huenda wengine wengi walikuwa pia katika uwanda wa ufalme. Baadhi, kama Yeremia, inawezekana walikuwa kizuizini. Wengine walikuwa huru kuja na kwenda kadiri walivyopenda. Pengine Yeremia alizungumza na yeyote
...read more

Yeremia 40: Maswali na Majibu

Yeremia 40: Maswali na Majibu

Mwongozo wa Kujifunza Biblia/ Yeremia 40, (24-BSG-40J)/ Maswali na Majibu   [1] Jadili kifupi matukio makuu yanayotokea baadaya ya Anguko la Yerusalemu? (Yer. 40-42). Nebuzaradani, kamanada wa jeshi la Babeli, alimkuta Yeremia amefungwa minyororo miongoni mwa mateka wengine kwenye kambi ya wafungwa huko Rama, akamwachilia. Gedalia anateuliwa kuwa liwali wa Yuda. Gedalia anauliwa na Ishmaeli.
...read more

Yeremia 21: Maswali na Majibu.

Yeremia 21: Maswali na Majibu.

Mwongozo wa Kujifunza Biblia/ Yeremia 21, (24-BSG-21J)/ Maswali na Majibu.     [1] Bainisha ujumbe uliotumwa na mfalme Zedekia kwenda kwa Yeremia (1). Pashuri mwana na Malkiya; na Sefania mwana wa Maaseya. Mfalme Zedekia aliwatuma watu hawa wawili kwa Yeremia akiwa na ombi. “Pashuri, mmojawapo wa maafisa wa mfalme, baada alimrai mfalme amwue Yeremia kwa
...read more