Mwanzo 48: Usomaji wa Biblia

Mwanzo 48: Usomaji wa Biblia

Mwanzo 48:   1 Ikawa, baada ya mambo hayo, Yusufu akaambiwa, Tazama, baba yako hawezi; akawatwaa wanawe wawili, Manase na Efraimu, pamoja naye. 2 Naye akaarifiwa Yakobo ya kwamba, Angalia, mwanao Yusufu anakuja kwako. Israeli akajitia nguvu, akaketi juu ya kitanda. 3 Yakobo akamwambia Yusufu, Mungu Mwenyezi alinitokea huko Luzu, katika nchi ya Kanaani, akanibariki, 4 akaniambia, Mimi
...read more

Mwanzo 47: Usomaji wa Biblia

Mwanzo 47: Usomaji wa Biblia

Mwanzo 47:   1 Ndipo Yusufu akaja akamwarifu Farao, akasema, Baba yangu, na ndugu zangu, na kondoo zao, na ng’ombe zao, na yote waliyo nayo, wamekuja kutoka nchi ya Kanaani, nao wako katika nchi ya Gosheni. 2 Akatwaa watu watano miongoni mwa nduguze, akawasimamisha mbele ya Farao. 3 Farao akawauliza hao nduguze, Kazi yenu ni nini? Wakamwambia
...read more

Mwanzo 46: Usomaji wa Biblia

Mwanzo 46: Usomaji wa Biblia

Mwanzo 46:   1 Akasafiri Israeli, pamoja na yote aliyokuwa nayo, akaja Beer-sheba, akamchinjia sadaka Mungu wa Isaka babaye. 2 Mungu akanena na Israeli katika ndoto ya usiku, akasema, Yakobo, Yakobo. Akasema, Mimi hapa. 3 Akasema, Mimi ni Mungu, Mungu wa baba yako, usiogope kushuka mpaka Misri; maana nitakufanya uwe taifa kubwa huko. 4 Mimi nitashuka pamoja nawe
...read more

Mwanzo 45: Usomaji wa Biblia

Mwanzo 45: Usomaji wa Biblia

Mwanzo 45:   1 Hapo Yusufu hakuweza kujizuia mbele yao wote waliosimama karibu naye. Akapiga kelele, na kusema, Mwondoeni kila mtu mbele yangu. Wala hakusimama mtu pamoja naye, Yusufu alipojitambulisha kwa nduguze. 2 Akapaza sauti yake akalia, nao Wamisri wakasikia. Watu wa nyumba ya Farao nao wakasikia. 3 Yusufu akawaambia ndugu zake, Mimi ndimi Yusufu; baba yangu
...read more

Mwanzo 44: Usomaji wa Biblia

Mwanzo 44: Usomaji wa Biblia

Mwanzo 44:   1 Akamwamuru yule msimamizi wa nyumba yake akisema, Jaza magunia ya watu hawa chakula kwa kadiri wawezavyo kuchukua, utie na fedha ya kila mtu kinywani mwa gunia lake. 2 Na kikombe changu, kikombe kile cha fedha, ukitie kinywani mwa gunia la yule mdogo pamoja na fedha ya nafaka yake. Akafanya kama vile alivyomwambia
...read more