
Dhambi ya Akani
SAHAMU YA JIONI. Mwongozo wa Kujifunza Biblia/ 6-BSG-7Y, (Yoshua 7:21)/ Dhima: Dhambi ya Akani/ Wimbo: When Jesus shall gather the nations, [Mwandishi: Harriet Burn McKeever (1885)/ NK #169] Andiko Kuu: “Nilipoona katika nyara joho nzuri ya Babeli, na shekeli mia mbili za fedha, na kabari ya dhahabu, uzani wake shekeli hamsini, basi nalivitamani nikavitwaa;
...read more

Yoshua 7: Maswali & Majibu
Mwongozo wa Kujifunza Biblia/ Yoshua 5, (6-BSG-7J)/ Katika ibara fupi, jibu maswali au andika mawazo makuu uliyojifunza kuhusu sura hii. [1] Tafadhali pitia upya yale ambayo tumejadili hadi sasa katika Kitabu cha Yoshua. Yoshua 1, Utume wa Yoshua. Yoshua 2, Uongofu wa Rahabu. Yoshua 3, Kuvuka Yordani. Yoshua 4, Mawe ya Ukumbusho. Yoshua 5, Utayari
...read more

Maombi: Yoshua 7
ANZA NA BWANA! Jumanne: July 26, 2022. Kipindi cha Ibada ya Maombi- (Alfajiri) [1] “Naomba niombewe Bwana anipatie ratiba ya maombi na familia yangu” (SM); [2] “Umaliziaji wa Nyumba yangu ununuzi wa bati na mbao” (SM); [3] “Wadogo zangu Loius, Samweli, Neema & Veronica- Wapate kuifahamu kweli” (SM); [4] Ombea watendakazi wote waliyo shambani mwa
...read more

Imani ya Yoshua
WAZO LA USIKU Mwongozo wa Kujifunza Biblia/ 6-BSG-6Y, (Yoshua 6:6-7)/ Dhima: Imani ya Yoshua/ Wimbo: (Si Mimi, Kristo –NK 17). YOSHUA AMTII MUNGU Aya Kuu: “Bali Yoshua, mwana wa Nuni, akawaita makuhani, akawaambia, Lichukueni sanduku la agano, tena makuhani saba na wachukue tarumbeta saba za pembe za kondoo waume mbele ya sanduku la Bwana.
...read more

Yoshua 6: Maswali na Majibu.
Mwongozo wa Kujifunza Biblia/ Yoshua 6, (6-BSG-6J)/ Katika ibara fupi, jibu maswali au andika mawazo makuu uliyojifunza kuhusu sura hii. [1] Sura hii inahusu nini hasa? — Sasa tunaingia sehemu mpya katika Kitabu cha Yoshua. Katika Yoshua 1 hadi 5, mada ni “Kuingia Kanaani.” Yoshua 6-12 inahusika na “Kuiteka Kanaani,” itakayowachukua Israeli kama miaka
...read more


