Yusufu Auzwa na Nduguze

Yusufu Auzwa na Nduguze

Mwanzo 37: Mwongozo wa Ibada/ 1-BSG-37A, (Mwanzo 37:1-43)/ Dhima: Yusufu Auzwa na Nduguze/ Wimbo: Burdens are lifted at Calvary (SDAH 476)   Uchunguzi: Mateso mara nyingi hutokana na Kutahawani (Kukiri) Injili – (Mat 24:9; Jn. 15:21; 2 Tim 3:11-12) Tafakari: Sura hii inaanza sehemu ya kumi na ya mwisho ya “vizazi” vya kitabu cha Mwanzo.
...read more

Nasaba ya Esau

Nasaba ya Esau

Mwanzo 36: Mwongozo wa Ibada/ 1-BSG-36A, (Mwanzo 36:1-43)/ Dhima: Nasaba ya Esau/ Wimbo: Have Thine own way, Lord! (SDAH 567)   Uchunguzi: Esau, Edomu, Seiri, Waedomu— (soma Mwa. 25:23; 27:29, 37–40; Mwa. 32:3; 36:31–39; Kut. 15:15; Hes. 20:14; Kumb. 2:4, 5, 12; 1 Nya. 1:43–50; Eze. 32:29; Amosi 2:1; 1 Nya. 1:51–54). Tafakari: Kuna migawanyiko
...read more

Ibada ya Sanamu

Ibada ya Sanamu

Mwanzo 35: Mwongozo wa Ibada/ 1-BSG-35A, (Mwanzo 35:1-4)/ Dhima: Ibada ya Sanamu/ Wimbo: Near to the heart of God (SDAH 495).   Uchunguzi: Ondoeni Sanamu Zenu – (2 Falm 3:2; 2 Nya. 15:8; 1 Sam 7:3; Mwa. 35:2; Yos. 24:14; 1 Falm 15:12; 2 Falm 23:24) Tafakari: Sura hii ina dhima nyingi, lakini tutazingatia masuala
...read more

Mauaji ya Kumwaga Damu huko Shekemu

Mauaji ya Kumwaga Damu huko Shekemu

Mwanzo 34: Mwongozo wa Ibada/ 1-BSG-34A, (Mwanzo 34:1-31)/ Dhima: Mauaji ya Kumwaga Damu huko Shekemu/ Wimbo: Kumtegemea Mwokozi (NK 129)   Uchunguzi: Mausia dhidi ya Mijumuiko Miovu – (1 Kor. 5:9; 15:33; Zab. 1:1-2; Mit. 9:6; 2 Kor. 6:14, 17; Efe. 5:11; 2 Thes. 3:6, 14). Tafakari: Hii ni mojawapo ya sura za giza kabisa
...read more

Yakobo & Esau: Pataneni!

Yakobo & Esau: Pataneni!

Mwanzo 33: Mwongozo wa Ibada/ 1-BSG-33A, (Mwanzo 33:1-20)/ Dhima: Yakobo & Esau: Pataneni! Wimbo: I am a stranger here [Mwandishi: E. T. Cassel (1902)]   Uchunguzi: Waumini wanapaswa Kupatana wao kwa wao– Soma (Mat 5:9, 23-25; Luka 12:58; Mat 5:44; 18:15-17, 21-35; Yn. 17:20-23; Rum. 12:18-21; 2 Thes. 3:14-15) Tafakari: Yakobo alikuwa ameazimu kurudi katika
...read more