You are browsing the Blog for Alfajiri.

Hesabu 16: Mwongozo wa Ibada
Mwongozo wa Kujifunza Biblia/ Hesabu 16: Mwongozo wa Ibada/ 4-BSG-16A (Hesabu 16)/ Mada ya Leo: Utakatifu wa Mungu katika uongozi na ibada: hatari ya uasi na wito wa unyenyekevu mbele Zake Mwito wa Ibada: “Mtukuzeni Bwana Mungu wetu, mkasujudu katika mlima wake mtakatifu; kwa kuwa Bwana Mungu wetu ni mtakatifu.” (Zaburi 99:9) Aya Kuu: “Bwana
...read more

Imani Dhidi ya Hofu
HESABU 13: INJILI YA ASUBUHIHesabu 13: Injili ya Asubuhi/ 4-BSG-13AB/ Somo: Imani Dhidi ya Hofu — Kuona Majitu au Kumwona Mungu? Wazo Kuu: Mungu anawaita watu Wake waamini ahadi Zake licha ya majitu yaliyo mbele yao. Uchunguzi:Imani juu ya hofu — “Kwa maana twaenenda kwa imani, si kwa kuona” (2 Kor. 5:7).Ujasiri wa kutii —
...read more

Kuiasi Amri ya Mungu
WAAMUZI 2B: MWONGOZO WA MAOMBI. Waamuzi 2: Mwongozo wa Maombi/ 7-BSG-2B (Waamuzi 2:2, 11-13)/ Dhima: Kuiasi Amri ya Mungu/ Wimbo: Trust and Obey (SDAH 590). Andiko Kuu: “Nanyi msifanye agano lolote na hawa wenyeji wa nchi hii; yapomoeni madhabahu yao. Lakini hamkuisikia sauti Yangu. Kwa nini mmefanya hivi?” (Waamuzi 2:2) Maelezo ya Ufunguzi: Malaika wa
...read more

Kutafuta Maongozi ya Kiungu
WAAMUZI 1B: MWONGOZO WA MAOMBI. Waamuzi 1: Mwongozo wa Maombi/ 7-BSG-1B (Waamuzi 1:1-2)/ Dhima: Kutafuta Maongozi ya Kiungu/ Wimbo: Open my Eyes that I may see! Andiko Kuu: “Sasa baada ya Yoshua kufa ikatokea kwamba wana wa Israeli walimuuliza BWANA, wakisema, ‘Nani atakayekwea kwanza kwa ajili yetu dhidi ya Wakanaani ili kupigana nao?’ Naye
...read more

Anza na Bwana, Agosti 5, 2022
NUSU-KABILA LINGINE LA MANASE (Yoshua 17) Sura hii inahusika na nusu-kabila lingine la Manase, tofauti na ile nusu tuliyoiona katika somo la jana (Yoshua 16:4), ambayo alipokea sehemu yake ya urithi uliogawanyika Magharibi mwa Yordani. Nusu-kabila la kwanza la Manase lilitaka kubaki upande wa Mashariki wa Yordani. Hawakutaka “kuvuka” Yordani katika nchi ya ahadi. Walipenda
...read more