You are browsing the Blog for Alfajiri.

Anza na Bwana, Agosti 4, 2022
URITHI (MGAWO) KWA WANA WA YUSUFU (Yoshua 16:1-10) Urithi na Mgawanyo wa Ardhi katika Nchi ya Ahadi ndiyo dhima kuu katika Yoshua sura ya 13 hadi 21. Efraimu na Manase walikuwa wana wa Yusufu, ambao mzee Yakobo “aliwarithi” na kubarikiwa sana (Mwa. 48:15–22). Kwa kuwa kabila la Lawi halikupewa eneo lolote, makabila haya mawili yalizazilishia
...read more

Anza na Bwana, July 28, 2022
Anza na Bwana! Alhamisi: July 28, 2022. KUFANYA MKATABA NA ADUI (Yoshua 9:3-14) Katika sura hii, Yoshua kimakosa anafanya mkataba na adui, Wagibeoni. Yoshua alifanya kosa gani katika uamuzi wa kuwakubali watu wa Gibeoni? (9:14) Alichunguza chakula chao, lakini hawakushauriana na Bwana! Je, tunawezaje kujua mapenzi ya Mungu kwetu? Mungu anafurahia kufunua mapenzi Yake
...read more

Anza na Bwana, July 27, 2022
ANZA NA BWANA! Jumatano: July 27, 2022. Kipindi cha Ibada ya Maombi. [1] “Naomba niombewe Bwana anipatie ratiba ya maombi na familia yangu” (SM); [2] “Umaliziaji wa Nyumba yangu ununuzi wa bati na mbao” (SM); [3] “Wadogo zangu Loius, Samweli, Neema & Veronica- Wapate kuifahamu kweli” (SM); [4] “Naombeni maombi yenu ya kiafya pia, maana
...read more

Maombi: Yoshua 7
ANZA NA BWANA! Jumanne: July 26, 2022. Kipindi cha Ibada ya Maombi- (Alfajiri) [1] “Naomba niombewe Bwana anipatie ratiba ya maombi na familia yangu” (SM); [2] “Umaliziaji wa Nyumba yangu ununuzi wa bati na mbao” (SM); [3] “Wadogo zangu Loius, Samweli, Neema & Veronica- Wapate kuifahamu kweli” (SM); [4] Ombea watendakazi wote waliyo shambani mwa
...read more

Ishara za Nyakati
Ibada ya Alfajiri/ Dhima: Ishara za Nyakati/ Neno Muhimu: Kesheni. Aya Kuu: “Na hilo niwaambialo ninyi, nawaambia wote, Kesheni.” (Mk 13:37) Maswali ya Moyoni: Vitabu vingapi katika Biblia vinahusika na Unabii wa Siku za Mwisho? Ni sura ngapi katika vitabu vya Injili vinazungumzia somo hili muhimu? Marko sura ya 13 inahusu nini hasa? Ni
...read more