You are browsing the Blog for Mwongozo wa Maombi.

Anza na Bwana, Agosti 4, 2022
URITHI (MGAWO) KWA WANA WA YUSUFU (Yoshua 16:1-10) Urithi na Mgawanyo wa Ardhi katika Nchi ya Ahadi ndiyo dhima kuu katika Yoshua sura ya 13 hadi 21. Efraimu na Manase walikuwa wana wa Yusufu, ambao mzee Yakobo “aliwarithi” na kubarikiwa sana (Mwa. 48:15–22). Kwa kuwa kabila la Lawi halikupewa eneo lolote, makabila haya mawili yalizazilishia
...read more

Anza na Bwana, July 27, 2022
ANZA NA BWANA! Jumatano: July 27, 2022. Kipindi cha Ibada ya Maombi. [1] “Naomba niombewe Bwana anipatie ratiba ya maombi na familia yangu” (SM); [2] “Umaliziaji wa Nyumba yangu ununuzi wa bati na mbao” (SM); [3] “Wadogo zangu Loius, Samweli, Neema & Veronica- Wapate kuifahamu kweli” (SM); [4] “Naombeni maombi yenu ya kiafya pia, maana
...read more

Maombi: Yoshua 7
ANZA NA BWANA! Jumanne: July 26, 2022. Kipindi cha Ibada ya Maombi- (Alfajiri) [1] “Naomba niombewe Bwana anipatie ratiba ya maombi na familia yangu” (SM); [2] “Umaliziaji wa Nyumba yangu ununuzi wa bati na mbao” (SM); [3] “Wadogo zangu Loius, Samweli, Neema & Veronica- Wapate kuifahamu kweli” (SM); [4] Ombea watendakazi wote waliyo shambani mwa
...read more

Mti wa ujuzi wa Mema na Mabaya
Mwanzo 2: Mwongozo wa Maombi/ 1-BSG-2B (Mwanzo 2:1-25)/ Dhima: Mti wa ujuzi wa Mema na Mabaya/ Wimbo: Andiko Msingi: “Na BWANA Mungu akamwagiza huyo mtu, akisema, Matunda ya kila mti wa bustani waweza kula; lakini matunda ya mti wa ujuzi wa mema na mabaya usile, kwa maana siku utakapokula matunda ya mti huo utakufa
...read more

Alifanya Nyota Pia
Mwanzo 1: Mwongozo wa Maombi/ 1-BSG-1B (Mwanzo 1:1-31)/ Dhima: Alifanya Nyota Pia/ Wimbo: Vito vya thamani kubwa (NK 196) Andiko Msingi: “Yeye afanyaye Kilimia na Orioni, na kukigeuza kivuli cha mauti kuwa asubuhi, na kuufanya mchana kuwa giza kwa usiku; Yeye ayaitaye maji ya bahari, na kuyamwaga juu ya uso wa nchi; Bwana, ndilo jina
...read more