Tutawezaje Kupona?’

Tutawezaje Kupona?’

Wazo la Usiku linaloshabihiana na Mpango wa Usomaji wa Biblia wa Leo: Isaya 20/ Dhima: ‘Tutawezaje Kupona?’/ 23-BSG-20Y (Isaya 20:5-6)/ Wimbo: “Tumesikia Mbiu: Yesu Huokoa” (NK # 108).   TWAWEZAJE KUPONA? Isaya 20:5-6 — “5 Nao watafadhaika, na kuona haya kwa ajili ya Kushi, matumaini yao, na Misri, utukufu wao. 6 Na mwenyeji wa nchi
...read more

Neema kwa Wamisri

Neema kwa Wamisri

Wazo la Usiku linaloshabihiana na Mpango wa Usomaji wa Biblia wa Leo: Isaya 19/ Dhima: Neema ya Mungu kwa Wamisri/ 23-BSG-19Y (Isaya 19:19-22)/ Wimbo: “Neema: Ni Habari Njema Kwako” (by Kurasini SDA Choir)   MADHABAHU YA IBADA NA NEEMA KWA WAMISRI. Andiko Msingi: Isaya 19: 19-22 —19 Katika siku hiyo itakuwako madhabahu katika nchi ya
...read more

Masalio wa Israeli

Masalio wa Israeli

Wazo la Usiku linaloshabihiana na Mpango wa Usomaji wa Biblia wa Leo: Isaya 17/ Dhima: Masalio wa Israeli/ 23-BSG-17Y (Isaya 17:6-80)/ Wimbo: “Namwandama Bwana kwa Alilonena” (NZK 128).   TAFAKARI: Karibu tena mpendwa katika kipindi cha Ibada ya Usiku. Katika sura ya leo tumesoma kuhusu anguko la Dameski na Efraimu (yaani taifa la Kaskazini la
...read more

Moabu: Dhambi ya Kiburi

Moabu: Dhambi ya Kiburi

IBADA YA USIKU Wazo la Usiku linaloshabihiana na Mpango wa Usomaji wa Biblia wa Leo: Isaya 16/ Dhima: Dhambi ya Kiburi/ 23-BSG-16Y (Isaya 16:6)   MOABU: DHAMBI YA KIBURI. Andiko Msingi: “Tumesikia habari za kiburi cha Moabu, ya kwamba ni mwenye kiburi kingi; habari za majivuno yake, na kiburi chake, na ghadhabu yake; majivuno yake
...read more

Sayuni Tukufu ya Siku za Mwisho

Sayuni Tukufu ya Siku za Mwisho

Wazo la Usiku Linaloshabihiana na “Mpango wa Usomaji Biblia” wa leo: Isaya 2/ Dhima: Sayuni Tukufu ya Siku za Mwisho: a Kimasihi/ 23-BSG-2Y, (Isaya 2:2-5)/ Wimbo: Come, we that love the Lord, and let our joys be known (SDAH 422) Isaya 2:2–5— 2 Na itakuwa katika siku za mwisho, mlima wa nyumba ya Bwana utawekwa
...read more