
Kuiasi Amri ya Mungu
WAAMUZI 2B: MWONGOZO WA MAOMBI. Waamuzi 2: Mwongozo wa Maombi/ 7-BSG-2B (Waamuzi 2:2, 11-13)/ Dhima: Kuiasi Amri ya Mungu/ Wimbo: Trust and Obey (SDAH 590). Andiko Kuu: “Nanyi msifanye agano lolote na hawa wenyeji wa nchi hii; yapomoeni madhabahu yao. Lakini hamkuisikia sauti Yangu. Kwa nini mmefanya hivi?” (Waamuzi 2:2) Maelezo ya Ufunguzi: Malaika wa
...read more

Waamuzi 1: Usomaji, Vidokezo
WAAMUZI 1D: MDOKEZO WA SURA. Mwongozo wa Kujifunza Biblia/ Muhtasari wa Sura/ Waamuzi 1, (7-BSG-1D)/ Dhima: Kushindwa kwa Israeli Kuwafukuza Wakanaani Wote katika Nchi ya ahadi. Wahusika: Mungu, Yuda, Simeoni, Adoni-bezeki, Kalebu, Aksa, Othnieli. Andiko Kuu: “Sasa baada ya Yoshua kufa ikatokea kwamba wana wa Israeli walimuuliza BWANA, wakisema, ‘Nani atakayekwea kwanza kwa ajili
...read more

Kutafuta Maongozi ya Kiungu
WAAMUZI 1B: MWONGOZO WA MAOMBI. Waamuzi 1: Mwongozo wa Maombi/ 7-BSG-1B (Waamuzi 1:1-2)/ Dhima: Kutafuta Maongozi ya Kiungu/ Wimbo: Open my Eyes that I may see! Andiko Kuu: “Sasa baada ya Yoshua kufa ikatokea kwamba wana wa Israeli walimuuliza BWANA, wakisema, ‘Nani atakayekwea kwanza kwa ajili yetu dhidi ya Wakanaani ili kupigana nao?’ Naye
...read more

Mambo Manne ya Ushindi
Mwongozo wa Kujifunza Biblia/ Waamuzi 1, (7-BSG-1Y)/ Dhima: Mambo Manne Muhimu kwa ajili ya Ushindi/ Wimbo: Faith is the Victory [Mwandishi: John H. Yates] Andiko Kuu: “Ikawa baada ya kufa kwake Yoshua, wana wa Israeli wakamwuliza Bwana, wakisema, ‘Ni nani atakayekwea kwanza kwa ajili yetu juu ya Wakanaani, ili kupigana nao?’ Bwana akasema, ‘Yuda
...read more

Anza na Bwana, Agosti 5, 2022
NUSU-KABILA LINGINE LA MANASE (Yoshua 17) Sura hii inahusika na nusu-kabila lingine la Manase, tofauti na ile nusu tuliyoiona katika somo la jana (Yoshua 16:4), ambayo alipokea sehemu yake ya urithi uliogawanyika Magharibi mwa Yordani. Nusu-kabila la kwanza la Manase lilitaka kubaki upande wa Mashariki wa Yordani. Hawakutaka “kuvuka” Yordani katika nchi ya ahadi. Walipenda
...read more


